zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Habar ya jion wakuu??
Baada ya kupigapigana na kufilisika huko niliko kuwa kwenye biashara zangu za mbao niliamua kurudi home na kwa maana kwa muda sana nilikuwa nashamba nilinunua kipindi nipo chuo..
Sasa kama ujuavyo ukuilima nao unahitaji mtaji nk.. SASA BASI MIE NISHAMBA HUKOO SONGWE yaan ukifika tundum kama unelekea sumbawanga unapita kijiji kinaitwa CHIPAKA then NkANGAMO Ndio unafika shambalilopo kijij huitwaCHIWAND nina ekar8..
KTk shamba waweza kulima mazao kama mahindi,maharage,maharizet,mtama,ulezi na karanga vyote hustawi kama utazingatia muda na matunzo..
Mie mwaka huu nililima maharage ya kuforce na maanisha kuwa sikuwa na mtaji wa matunzo,nikapata kidogo kiasi
SASA BASI NIMEKUJA HUMU JAMVINI KAMA NAWEZA PATAMTU MWENYE MTAJI WAKE TULIME PALE KAMA NI ALIZET AU ULEZI ..mie nishamba yeye atapaswa kutoa mtaji wa kulimia na mbegu mpk kuvuna alafu mie nitakuwa na wajibu wa kusimamia mpk mwisho
alafu tutaingia makubaliano mwisho wa siku mie nipate asilimia ngapi nae apate asilimia ngap??
Kama kuna mTu anaweza kuwa tayar tufanya kaz HALI NI NGUMU
BUT SAMAHANI SIJUI KUIIELEZA NA KUANDIKA VIZUR