Nahitaji mtu wa kuwekeza kwenye shamba langu

zinginary

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
2,483
Reaction score
1,705
Habar ya jion wakuu??

Baada ya kupigapigana na kufilisika huko niliko kuwa kwenye biashara zangu za mbao niliamua kurudi home na kwa maana kwa muda sana nilikuwa nashamba nilinunua kipindi nipo chuo..

Sasa kama ujuavyo ukuilima nao unahitaji mtaji nk.. SASA BASI MIE NISHAMBA HUKOO SONGWE yaan ukifika tundum kama unelekea sumbawanga unapita kijiji kinaitwa CHIPAKA then NkANGAMO Ndio unafika shambalilopo kijij huitwaCHIWAND nina ekar8..

KTk shamba waweza kulima mazao kama mahindi,maharage,maharizet,mtama,ulezi na karanga vyote hustawi kama utazingatia muda na matunzo..

Mie mwaka huu nililima maharage ya kuforce na maanisha kuwa sikuwa na mtaji wa matunzo,nikapata kidogo kiasi

SASA BASI NIMEKUJA HUMU JAMVINI KAMA NAWEZA PATAMTU MWENYE MTAJI WAKE TULIME PALE KAMA NI ALIZET AU ULEZI ..mie nishamba yeye atapaswa kutoa mtaji wa kulimia na mbegu mpk kuvuna alafu mie nitakuwa na wajibu wa kusimamia mpk mwisho

alafu tutaingia makubaliano mwisho wa siku mie nipate asilimia ngapi nae apate asilimia ngap??

Kama kuna mTu anaweza kuwa tayar tufanya kaz HALI NI NGUMU

BUT SAMAHANI SIJUI KUIIELEZA NA KUANDIKA VIZUR
 
Atakae kuwa tayar ata ni pm

Kama nikiwa hewan tutawekana sawa
 
Che

Check PM
 
Angalia alama ya bahasha hapo juu, click mara moja, utakuta msg, open. Ikishindikana , start conversation, ingiza ID yangu na somo au mada tunayoongelea
Nimekujibu tayar mkuu
 
Mkuu huko mbali sana ,ukipata mteja muuzie lasivyo ilo shamba utalitelekeza.
 
Ni kweli mkuu,kilimo ni mtaji na kuwekeza kwenye kilimo cha kutegemea mvua ni probability;na pia mwamko wa watu kuwekeza kusini ni mdogo.
Huko ndo kwenyewe hasa kuna soko kubwa sana LA kikongo ukiamua kufanya mishe
 
Kiukweli fursa Tanzania Ila tunapenda kuigana sana matokeo ndo vilio na ndo maana mpka Leo bado tunapigwa tu.
Fursa zipo inategemea na eneo pamoja na soko la kulihudumia;biashara ambayo iko nzuri kwenye kilimo ni kwa yale mazao ambayo ni ya muda mfupi,wewe unakuwa unalima tofauti na msimu kwa kutegemea umwagiliaji.Mfano shamba lako lingekuwa kwenye mji wowote mkubwa,ungeliweza kuchimba kisima na kuyavuta hayo maji juu yaende kwenye matanki na baadaye yaende kwenye umwagiliaji wa matone;lakini kwa huko lilipo litakupa hasara.naongea kwa uzoefu kwa sababu kuna la kwangu nimelitelekeza mkoa fulani baada ya kupiga hesabu za uzalishaji na masoko nikaona litanipa hasara.
 
Mkuu huko mbali sana ,ukipata mteja muuzie lasivyo ilo shamba utalitelekeza.
Sio mbali mkuu

Wafanya biashara wakubwa wore wa tunduma wanamashamba huku

Unamaanisha mbali na wapi my b

Solo LA mazao lipo hapa boda
 
Back
Top Bottom