kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Mm nna mbegu za mapacha VP uko tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwà cha habari wahitaji MTU wa kuzaa nae. Content majanga mwanzo mwishoHAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.
Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
ha ha hahaa,hawa ndio wale wa KIGWA eeh?Ulisharipoti central mkuu???[emoji30]
Duuh!HAbari zenu,