Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kweli jf siku hizi imekua fb[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ??HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.
Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.