Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Hiyo kisayansi inahitaji ufafanuzi kwa sisi wengine was daraja LA iii inamaana wanakamua mbegu kwa mashine au tunabadilishana joto?
 
Atakuwaje mtoto wa damu yao wakati umemzaa wewe, please tuweke sawa hapo ili wenye uhitaji tukuelewe vyema
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Ni PM tuyamalize hata hivo nna ham ya gegedo.

Naantombe Mushi
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Nipo hapa niPM nami nahitaji sana iyoo
 
Back
Top Bottom