Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Kichwà cha habari wahitaji MTU wa kuzaa nae. Content majanga mwanzo mwisho
Pole sana.
Unataka kuwa kitalu cha kukuzia mtoto ?
 
Hapo umeongea i support u unafanya kitu kubadilisha familia fulani nao wapate furaha kwa tz wataona jambo la ajabu ila kwa akina trump kitu cha kawaida
 
naona mleta mada kaamua achukue concept yote ya kwenye movie iitwayo WHEN THE BOUGH BREAKS afu kaja kuibadirisha iwe hoja kusudi atupime mbongo zetu,umechemsha sio wote vilaza hapa na mikakati yako ya kufikirika binti...
 
Duuh!
Uzi wa zamani though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…