Nahitaji mume 33-40 age

Nahitaji mume 33-40 age

Unajuaje Lizzy...inawezekana tayari ameshaanza mawasiliano....🙂

Kila la heri mushijack, ukipata usiache kutupa feedback! Karibu sana Jamvini.
Hehehe angekua ameanza sidhani kama angejiombea competition!!Angewahamasisha wampotezee!
 
Mkuu hii ndio inaonesha kweli yupo serious..., kuliko wale wote ambao wameshatoa mabandiko yao...
Sasa wewe endelea hapa kuuliza maswali wakati wenzako wameshatuma application
Ushauri wangu Konga hicho kibutton cha PM Opportunity Never Knocks Twice...

Asante kwa ushauri, tatizo sasa hapa JF kila mara wadada wanaotoa matangazo ya kutafuta mchumba kigezo cha umri kinakuwa kinakaba, na suala la kuchakachua birth certificate walau kuongeza umri linakuwa gumu. Ndo maana nimemuomba angalau ashushe umri wa amtafutae kidogo.
 
Dada,
Nakutakia mafanikio.
Mimi si kati ya wale watakaokusema vibaya, maana unachagua njia njema ya kuishi kiuwenza na kufarijiana na mwenzi wako!
Bahati mbaya mimi nishabukiwa, lakini vinginevyo ningekutumia ujumbe ili tuingie kwenye biashara serious! Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani
 
Asante kwa ushauri, tatizo sasa hapa JF kila mara wadada wanaotoa matangazo ya kutafuta mchumba kigezo cha umri kinakuwa kinakaba, na suala la kuchakachua birth certificate walau kuongeza umri linakuwa gumu. Ndo maana nimemuomba angalau ashushe umri wa amtafutae kidogo.

Mwaga CV yako kama ni nzuri sana huenda akashusha kidogo..
 
Dada,
Nakutakia mafanikio.
Mimi si kati ya wale watakaokusema vibaya, maana unachagua njia njema ya kuishi kiuwenza na kufarijiana na mwenzi wako!
Bahati mbaya mimi nishabukiwa, lakini vinginevyo ningekutumia ujumbe ili tuingie kwenye biashara serious!
Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani
Usilazimishe kuweka hisia moyoni mwangu.
Kaka sijamwona kwa sura huyo dada, je nitamtamani vipi?..na kawaida ya kutamani huja baada ya kuona!
Endelea naye tu bana...mimi nakaribia kujukuu sasa!...huh!
 
Usilazimishe kuweka hisia moyoni mwangu.
Kaka sijamwona kwa sura huyo dada, je nitamtamani vipi?..na kawaida ya kutamani huja baada ya kuona!
Endelea naye tu bana...mimi nakaribia kujukuu sasa!...huh!

PJ...Nothing4good ni mdada.... actually ana sredi yake akilalamika kuhusu mkaka ambaye anampenda...lakini mkaka amemweka kama ziada...
 
Mpwa wangu, asante sana kwa ujasiri wako wa ajabu, ni wadada wachache wenye ujasiri kama huu! I believe utapata ulichokiomba in JESUS'S Name I pray and believe!!

You are the strongest Lady, wasikukatishe tamaa, umri si hoja bana!
 
Hii mambo ya kutafuta mpenzi humu ndani sasa kama ugonjwa wa kuambukiza. Au ni ishara kwamba kuna tatizo la watu kutongozana live inabidi kupitia humu? Lakini nakutakia heri mama

Wakati sioni tatizo kwenye suala la kutafuta mchumba kihivi, wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kabisa ukapata mtu asiye wa chaguo lile unalolifikiria. Tukumbuke siku zote roho inakula ile kitu inapenda
 
Back
Top Bottom