VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Sitaki anirudishie labda yeye mwenyewe akiamua kuutupa chini basi itabidi niuchukue na kujaribu kuupeleka kwingine..Uchukue kwa lazima...huoni mwenzio kachoshwa na upweke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki anirudishie labda yeye mwenyewe akiamua kuutupa chini basi itabidi niuchukue na kujaribu kuupeleka kwingine..Uchukue kwa lazima...huoni mwenzio kachoshwa na upweke?
Hehehe angekua ameanza sidhani kama angejiombea competition!!Angewahamasisha wampotezee!Unajuaje Lizzy...inawezekana tayari ameshaanza mawasiliano....🙂
Kila la heri mushijack, ukipata usiache kutupa feedback! Karibu sana Jamvini.
Mkuu hii ndio inaonesha kweli yupo serious..., kuliko wale wote ambao wameshatoa mabandiko yao...
Sasa wewe endelea hapa kuuliza maswali wakati wenzako wameshatuma application
Ushauri wangu Konga hicho kibutton cha PM Opportunity Never Knocks Twice...
Embu muonee mwenzio huruma bwana...!Sitaki anirudishie labda yeye mwenyewe akiamua kuutupa chini basi itabidi niuchukue na kujaribu kuupeleka kwingine..
Dada,
Nakutakia mafanikio.
Mimi si kati ya wale watakaokusema vibaya, maana unachagua njia njema ya kuishi kiuwenza na kufarijiana na mwenzi wako!
Bahati mbaya mimi nishabukiwa, lakini vinginevyo ningekutumia ujumbe ili tuingie kwenye biashara serious! Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani
Asante kwa ushauri, tatizo sasa hapa JF kila mara wadada wanaotoa matangazo ya kutafuta mchumba kigezo cha umri kinakuwa kinakaba, na suala la kuchakachua birth certificate walau kuongeza umri linakuwa gumu. Ndo maana nimemuomba angalau ashushe umri wa amtafutae kidogo.
Embu muonee mwenzio huruma bwana...!
Usilazimishe kuweka hisia moyoni mwangu.Dada,
Nakutakia mafanikio.
Mimi si kati ya wale watakaokusema vibaya, maana unachagua njia njema ya kuishi kiuwenza na kufarijiana na mwenzi wako!
Bahati mbaya mimi nishabukiwa, lakini vinginevyo ningekutumia ujumbe ili tuingie kwenye biashara serious!
Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani
Kaka sijamwona kwa sura huyo dada, je nitamtamani vipi?..na kawaida ya kutamani huja baada ya kuona!
Endelea naye tu bana...mimi nakaribia kujukuu sasa!...huh!
Usilazimishe kuweka hisia moyoni mwangu.
Kaka sijamwona kwa sura huyo dada, je nitamtamani vipi?..na kawaida ya kutamani huja baada ya kuona!
Endelea naye tu bana...mimi nakaribia kujukuu sasa!...huh!
PJ...Nothing4good ni mdada.... actually ana sredi yake akilalamika kuhusu mkaka ambaye anampenda...lakini mkaka amemweka kama ziada...
PJ...Nothing4good ni mdada.... actually ana sredi yake akilalamika kuhusu mkaka ambaye anampenda...lakini mkaka amemweka kama ziada...
Yaani hii ni very confunsing mimi nimesoma majibishano yao lakini bado sijaelewa..
Hii mambo ya kutafuta mpenzi humu ndani sasa kama ugonjwa wa kuambukiza. Au ni ishara kwamba kuna tatizo la watu kutongozana live inabidi kupitia humu? Lakini nakutakia heri mama
Yaani hii ni very confunsing mimi nimesoma majibishano yao lakini bado sijaelewa..
Nilivyoelewa huyu Nothing4good, alikuwa anamjib PJ akimwambia.....Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani". akiwa na maana kwamba yeyeNothing... ndo yuko na PJ..!!!
Okay asante kwa kunifahamisha..., I think hata PJ mwenye hajaelewa..Nilivyoelewa huyu Nothing4good, alikuwa anamjib PJ akimwambia.....Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani". akiwa na maana kwamba yeyeNothing... ndo yuko na PJ..!!!
Kazi kweli kweli......., Vipi wewe Hutafuti ?
Hapa sasa broda ndipo penye ishu full!...Okay asante kwa kunifahamisha..., I think hata PJ mwenye hajaelewa..
Kazi kweli kweli......., Vipi wewe Hutafuti ?
Nakuombea mawasiliano mema...japo najiuliza kwanini umuulize kwa huku hadharani!
Lakini pia umesema moyo wako ushatekwa na kiumbe fulani !:rain:
Okay asante kwa kunifahamisha..., I think hata PJ mwenye hajaelewa..
Kazi kweli kweli......., Vipi wewe Hutafuti ?
Dont tell me guys...Unajua ndio mnanifungua macho!...Ngoja niendelee kusubiri kama ataendelea kuni'poke ili nibadili mapigo!Nilivyoelewa huyu Nothing4good, alikuwa anamjib PJ akimwambia.....Mchukue 2 me nitatafuta mwingine maana umesha mtamani". akiwa na maana kwamba yeyeNothing... ndo yuko na PJ..!!!
Na mimi naomba aliyechukua Heart Yangu anionee Huruma.
Anza wewe kuonyesha ..huenda akakufikiria!