Nahitaji mume 33-40 age

Unajuaje Lizzy...inawezekana tayari ameshaanza mawasiliano....🙂

Kila la heri mushijack, ukipata usiache kutupa feedback! Karibu sana Jamvini.
Hehehe angekua ameanza sidhani kama angejiombea competition!!Angewahamasisha wampotezee!
 

Asante kwa ushauri, tatizo sasa hapa JF kila mara wadada wanaotoa matangazo ya kutafuta mchumba kigezo cha umri kinakuwa kinakaba, na suala la kuchakachua birth certificate walau kuongeza umri linakuwa gumu. Ndo maana nimemuomba angalau ashushe umri wa amtafutae kidogo.
 
 

Mwaga CV yako kama ni nzuri sana huenda akashusha kidogo..
 
 
 
Mpwa wangu, asante sana kwa ujasiri wako wa ajabu, ni wadada wachache wenye ujasiri kama huu! I believe utapata ulichokiomba in JESUS'S Name I pray and believe!!

You are the strongest Lady, wasikukatishe tamaa, umri si hoja bana!
 
Hii mambo ya kutafuta mpenzi humu ndani sasa kama ugonjwa wa kuambukiza. Au ni ishara kwamba kuna tatizo la watu kutongozana live inabidi kupitia humu? Lakini nakutakia heri mama

Wakati sioni tatizo kwenye suala la kutafuta mchumba kihivi, wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kabisa ukapata mtu asiye wa chaguo lile unalolifikiria. Tukumbuke siku zote roho inakula ile kitu inapenda
 
Anza wewe kuonyesha ..huenda akakufikiria!

Nimeshaonesha matendo yote nasubiri anipe go ahead..., am sure hata yeye anajua kwamba ameniteka...(ila kaamua kunitesa tu mtoto wa watu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…