Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nimeshaonesha matendo yote nasubiri anipe go ahead..., am sure hata yeye anajua kwamba ameniteka...(ila kaamua kunitesa tu mtoto wa watu)
Nimeshaonesha matendo yote nasubiri anipe go ahead..., am sure hata yeye anajua kwamba ameniteka...(ila kaamua kunitesa tu mtoto wa watu)
I meant uonyeshe mfano kwa kumhurumia dada yetu hapa alafu labda na wewe utaonewa huruma!
Sasa akiona nimekwenda pengine si ndio itakuwa Bye Bye... ataona kuwa sipo committed
VoR.. kuna jamaa alikosa mke kwa ku-assume kuwa mdada anajua kwamba anampenda na ana nia ya kumuoa...siku ya siku mdada akamletea good news kwamba kampata mchumba....yeye alikuwa ni kama kaka...so take a step...:decision:
Anaweza akafurahi kujua wewe ni mkarimu na unaweka mahitaji ya wengine kabla ya yakwako binafsi!
VoR.. kuna jamaa alikosa mke kwa ku-assume kuwa mdada anajua kwamba anampenda na ana nia ya kumuoa...siku ya siku mdada akamletea good news kwamba kampata mchumba....yeye alikuwa ni kama kaka...so take a step...:decision:
Not all the time!after all action speaks louder than words
Labda kwenye mambo mengine lakini sio kwenye hizi issue za Love....
Asante kwa ushauri mzuri... Keren.., Hii ngoja ngoja naweza kukosa bahati..., yaani yote haya bado hajaona tu, after all action speaks louder than words
Not all the time!
Haya basi jitahidi kumpa mashairi!
ngoja nijipange ingawa mashairi sio fani,
Hahahahah.......:confused2:...........
Yani umpige sound!Au kama ameshindwa kukusoma mpaka sasa hivi mpotezee!
Usiwe confused karen naanza kufata ushauri wako in few minutes.., and you will be the first to know...
Thats all I need to hear Asante... Thanks.Hiyo inatia moyo.... Wish you all the best....and hope hatautupa moyo wako chini...ataweza kuu-handle with care!
Hapo kwenye mpotezee sio rahisi kihivyo.., si unajua roho ikipenda huwezi kuzima na kuwasha kama vile mshumaa