Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nafikiria kitu endelevu hapa. Hili nalo yaelekea kuwa ni janga la kitaifa. Vijana wa leo hatuna mazingira rasmi ya kukutana ama kukutanishwa kwa ajili ya kufanya maamuzi ya kimahusiano. Miji imetumeza. Huyu sharobaro, huyu cheksister, huyu sitaki nataka, n.k kuja tahamaki muda hakuna. Dada all the best