Nahitaji mume 33-40 age

hivi babii nae keshaolewa maana simuoni humu kam huyu aliyeleta thread hii mwezi february 2011 na wasi wasi keshaolewa au kesha danja
 
Kwa umri uliokuwa nao sidhani kama kuna umuhimu wa masharti magumu atakae jitokeza we utajua huko huko mbele ya safari hii chagua chagua hii utakuja kosa vyote na ukizingatia uliocheza nao kombolela wengi watakuwa wameshaoa.
 
response utapata nyingi mwanamama, kazi kwako kuchagua nani mkweli best candidate.
 

mie muislamu ila niko tayari kubadili dini....sifa unazotaka ninazo na nyingine za ziada...ni-pm kama vipi tuanza michongo ya kufahamiana.
 
kwa umri uliokuwa nao sidhani kama kuna umuhimu wa masharti magumu atakae jitokeza we utajua huko huko mbele ya safari hii chagua chagua hii utakuja kosa vyote na ukizingatia uliocheza nao kombolela wengi watakuwa wameshaoa.
umri si lolote katika mapenzi..mbona wabeba box kibao wanayadandia mabibi wa miaka 60 kisa wazungu...acha kumdis mwenzako..huo umri kwanza ndio mzuri maana maisha yashampiga na akipata mume lazima anyenyekee kwa sana tu
 
Nipo shupavu saidi.
Kontakt via;dr_pangani@yahoo.com
Mengine tutayamaliza.
 

tatizo umri! Mimi nina 26yrs nakubalika?
 
Anza na picha, otherwise ni sawa na kutaka kuuza mbuzi kwenye gunia...
 
Dah!Kuna mtu namfahamu anatafuta mke wa sifa zako kabisa,Ana miaka 36 na anafanyakazi nzuri tu yenye kipato.Tatizo lipo hapo kwenye red,vp nimwambie ajaribu bahati yake then mtajuana nyie wenyewe?
 

Pole kwa upweke mushijack, nami nina tatizo la upweke kama wewe na niko tayari kuwa nawe. Kuhusu kupima VVU mimi
najijua status yangu NIKO POSTIVE! je tunaweza anzisha mawasiliano? Niko serious!
 
mie muislamu ila niko tayari kubadili dini....sifa unazotaka ninazo na nyingine za ziada...ni-pm kama vipi tuanza michongo ya kufahamiana.

ushaolewa au bado namba yangu ni 0769421133
 

Mmmhh,,,umri unaongezeka kila ID,,utafikisha hadi 50 ambayo ni expry date
 
mwambie Nepi aje na yy mwenyewe bas ww tumekuchoka na maID yko milion,,
 

Sasa hivi una miaka 35 sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…