Nahitaji mume 33-40 age

Nahitaji mume 33-40 age

hivi babii nae keshaolewa maana simuoni humu kam huyu aliyeleta thread hii mwezi february 2011 na wasi wasi keshaolewa au kesha danja
 
Kwa umri uliokuwa nao sidhani kama kuna umuhimu wa masharti magumu atakae jitokeza we utajua huko huko mbele ya safari hii chagua chagua hii utakuja kosa vyote na ukizingatia uliocheza nao kombolela wengi watakuwa wameshaoa.
 
response utapata nyingi mwanamama, kazi kwako kuchagua nani mkweli best candidate.
 
mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume mkristo tayari kupima vvu pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri private message (pm) kwa wale tu walioko serious karibuni.

mie muislamu ila niko tayari kubadili dini....sifa unazotaka ninazo na nyingine za ziada...ni-pm kama vipi tuanza michongo ya kufahamiana.
 
kwa umri uliokuwa nao sidhani kama kuna umuhimu wa masharti magumu atakae jitokeza we utajua huko huko mbele ya safari hii chagua chagua hii utakuja kosa vyote na ukizingatia uliocheza nao kombolela wengi watakuwa wameshaoa.
umri si lolote katika mapenzi..mbona wabeba box kibao wanayadandia mabibi wa miaka 60 kisa wazungu...acha kumdis mwenzako..huo umri kwanza ndio mzuri maana maisha yashampiga na akipata mume lazima anyenyekee kwa sana tu
 
Nipo shupavu saidi.
Kontakt via;dr_pangani@yahoo.com
Mengine tutayamaliza.
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

tatizo umri! Mimi nina 26yrs nakubalika?
 
Anza na picha, otherwise ni sawa na kutaka kuuza mbuzi kwenye gunia...
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.
Dah!Kuna mtu namfahamu anatafuta mke wa sifa zako kabisa,Ana miaka 36 na anafanyakazi nzuri tu yenye kipato.Tatizo lipo hapo kwenye red,vp nimwambie ajaribu bahati yake then mtajuana nyie wenyewe?
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

Pole kwa upweke mushijack, nami nina tatizo la upweke kama wewe na niko tayari kuwa nawe. Kuhusu kupima VVU mimi
najijua status yangu NIKO POSTIVE! je tunaweza anzisha mawasiliano? Niko serious!
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

Mmmhh,,,umri unaongezeka kila ID,,utafikisha hadi 50 ambayo ni expry date
 
mwambie Nepi aje na yy mwenyewe bas ww tumekuchoka na maID yko milion,,
 
Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.

Sasa hivi una miaka 35 sawa...
 
Back
Top Bottom