Nahitaji mume 33-40 age

Nahitaji mume 33-40 age

Asante kwa ushauri, tatizo sasa hapa JF kila mara wadada wanaotoa matangazo ya kutafuta mchumba kigezo cha umri kinakuwa kinakaba, na suala la kuchakachua birth certificate walau kuongeza umri linakuwa gumu. Ndo maana nimemuomba angalau ashushe umri wa amtafutae kidogo.

Una uhakika hawa ni wanadada?
 
Mpotezee aje kulia baadae wakati umeshadondoka na kudakwa kwingine!
Mmhh Sasa hapo faida ya nani ?
Sababu na mimi takuwa nimekosa ninachokitaka.., na yeye kama hataki sahizi ni nini kitamfanya alie baadae?
 
Kweli basi atakuwa Hanipendi...
Hakufukuzae hakwambii toka
:disapointed:

Mbona unakata tamaa haraka hivyo??!!!.....mtaka cha uvunguni sharti ainame. Sasa naona wewe bado umesimama unawaza....kama kwenye avatar yako....🙂
 
Wakuu msifanye mzaha na utani mwenzenu yuko serious nakutakia kila la kheri dada utapata mwenza tu.
 
Asante kwa ushauri mzuri... Keren.., Hii ngoja ngoja naweza kukosa bahati..., yaani yote haya bado hajaona tu, after all action speaks louder than words

Sema bwana!!! Itakula kwako aiseeee!!!
 
Nawashukuru wote mliochangia na kunitia moyo maana kweli nahitaji mume na hili swala si la utani kabisa.
 
Nawashukuru wote mliochangia na kunitia moyo maana kweli nahitaji mume na hili swala si la utani kabisa.

Usiache kuomba lakini Jack na kumshirikisha Mungu kwa karibu na kumaanisha kweli kweli. Manake hii taasisi bwana ina mambo yake magumu na makubwa sana. Ninavyosikia !!!!!!
 
Nawashukuru wote mliochangai na jinsi mnavyonitia moyo. Nikifanikiwa nitarudi kutoa majibu.
 
Mimi nina vigezo vyote kasoro kimoja ila nawapongeza dada zangu kwa kuamka na kutafuta wachumba wenye sifa wazitakazo bila kusubiri kutamkiwa. Huo ni ukombozi wa kifikra.
 
Mnaboa. afu kama vip Mushajak 2potezee ww watu wenyewe hata hujawajua . soma kwanza mchezo.
 
Back
Top Bottom