Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

hujaweka details za kutosha kama elimu yako,umri....etc

Ngoja tube pm huko
 
Wasukuma wana nyota sana,chaliii nae kuna siku alisema anataka msukuma kwani usukumani kuna nini?

nadhani kuna sifa 1 hamtaki itaja ambayo n common sana usukumani,itajeni basi tuijue tuone tunaitafutaje na sisi wa ntwara...
 
Wewe mwenyewe uko serious na maisha? Maana ulivoandika kama hauko serious vile
 
Kwahiyo chura ndio ndoa? Uzuri wamwanamke tabia nauzuri wamwanaume nitabia pia endelea kusaka vyura majini
Chura ndio Ndoa bibie,yani bila chura no NDOA

we ulishawahi ona wapi bibi harusi kavaa gauni la harusi hana chura?

hata kama alikua hana siku ya harusi wakati anaingia ukumbini chura ataonekana tu.

Tukirudi kwenye swala la tabia Hapo umesha feli,tujikite kwenye chura Tabia tunaweza rekebsha.
 
Acha siasa za dini. Dini yako haikufikishi popote kama huna matendo mema na upendo.
Sio lazima uwe mwislamu ili uone pepo
Duh, sijamwambia awe muislamu wala Hinduism, nimemwambia akasome kwa upana zaidi yani asome kila upande, sijui umenielewa?.
 
Kuna kitu nimekiona ktk huu Uzi.

Inaonekana wanawake wa kisukuma wanasoko sana koz sijaona kejeli za kila siku zinazotolewa ktk nyuzi km hizi. Watu wanauliza maswali ya msingi.

Kila la kheri mtoa mada najua huko pm ni mafuriko.
 
Back
Top Bottom