Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuOk wabheja sana seza wane [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama sio mweupe asahau...atachezewa na kuachwa.😀😀Wanakuja wakina ngosha wasubiri
mimi mnyawezi nakuhitaji uwe mwenza unasemaje hapoWao waje tuu haina shida mpendwa namimi msukuma mwenzao pia
Hujataja umri!!Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni.
Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
Endelea kukalili hivohivo mawazo yako ndipo yalipoishia ckuzuii kuongea ukitakacho usifikiri kila aliyeko humu anaakili unazoziwaza wewe[emoji57]Hao huwa ni rahisi kupigwa, atatumiwa picha mtoto mweupee, anaambiwa nitumie laki ya nauli na kusuka[emoji38][emoji38][emoji38]