Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni.

Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]
Twende Pm wangu, mimi niko verified kabisaa 🥰
 
Nimeishaachana nahizo habari mkuu nakomaa na life kwanza mengine yatajileta yenyewe boss
Hiyo nzuri.👏 ina maana hitaji muhimu la nne la binadamu kamili haulitumii aise?
 
Back
Top Bottom