Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Kuna member mmoja humu ndani alikuja na bandiko analalamika kuwa mke wake (Wamefunga ndoa hivi karibuni) alimkatalia sex hadi baadaa ya ndoa, baada ya ndoa anakuta mwanamke anatatuu ya jina la bwana wake aliyembikirua pembeni kidogo ya papuchi. Now analalamika anataka kuvunja ndoa, kashindwa kabisa kuvumilia.
Point yangu dada yangu, kwa sisi mafisi wa kizazi hiki omba sana Mungu akusaidie maana kumpata wa hitaji la moyo wako si kazi ndogo. Ni wachache sana wanaoweza kwenda na beats za "Sex hadi ndoa"