Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

[emoji85] [emoji85] [emoji85] you are embarassing me. Watu wakiona kwamba nlikunyima kitu nlichopewa bure si watanishangaa sana aisee
I kept the convo thou [emoji23][emoji23]

Hamna tatizo si umempa baba mtt yule
 
He went thru the cracks n impregnanted the love of my life

[emoji854][emoji23]
Love of my life my butt..[emoji23] [emoji23] ukimaliza huu usanii unaofanya hapa uje kwa piemu uniambie aliyekupa huo umbea
 
Love of my life my butt..[emoji23] [emoji23] ukimaliza huu usanii unaofanya hapa uje kwa piemu uniambie aliyekupa huo umbea

Hahahahahahaha

Rule no 3....No names....i saw u when u wea prego

Wala sio usanii ndio ukweli
 
Huwezi kupanga mashart magumu ugenini ilihali wewe ndo Mwenye Shida ya kuolewa alaf umpangie mwanaume kwamba hakuna sex????!! Labda ka mwanaume ndo angekutongoza ingekua rahisi kukubaliana na hilo sharti lako
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..

Seriously looking for a second wife ,tuwasiliane.
Shukran
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Wapi unapoishi, Nitafute kwa njia yoyote tufanye maisha
 
Wanawake huwa wako hivyo, ukimfuata serious unataka kuoa, atakukejeli, oo mbona we mkubwa sana, ujana wako umekula na wengine unaniletea uzee wako! Halafu wanawakubali vijana masharo wanatafuna mahindi yote, likibaki gunzi ndiyo linawekewa masharti mpaka uoe ndipo uangalie hilo gunzi kama lina punje.
Ukweli mtupu
 
hujalazimishwa. Samahani lakini .

Asante kwa kejeli zako.

Bora nizeekee kwetu

Ungekuwa huna cha kusema Hapa ungepita tu

Kujalazimishwa. Kwani nimekuambia nakutaka wewe

Wanajifanya miungi mtu hao.

Kwani si nimeamua mwenyewe. Kwani wa mtaani sijawaona... Acha kiherehere.kama huna cha kusema pita tu
Mkuu Mrs fiance acha kujizana na wanaokuletea dhihaka na mizaha kwa kadrii unavyo zidi kuwajibu ndivyo unavyo wapa kiki kuendelea na shombo zao.
Wenye nia ya kweli watakufuata pm, zaid nikusihi focus goal lako vinginevyo utajikuta umefika mbali bila sababu.

Vinginevyo nikutakie kila la kheri na hakuna linaloshindika, wengine wanaolewa wakiwa na 38 sebuse 28 usikatishwe tamaa na watu wachache.

Mungu akutane na haja ya moyo wako.
 
wewe mzee ushakula papuchi ngapi hadi leo?

wewe mzee wewe hapo ulipo umelala na picha ya papuchi! unaongea tu hata huyu dada ulitaka tu kumla! hupati kitu hapa

usipooa? ina maana atapitiwa na wangapi kisa ndoa ? si bora aache tu

wewe ni zaidi ya mbuzi

ahahaaa sizitaki mbichi hizi wakati unamendea hadi kuziota

usiwe tu mfuasi wa kibwetere dini zote anazikubali

ulitaka akujibuje? tafuta bubu
Miss Natafuta heshima kwako!
Nikusihi acha majibizano na watu wenye ufahamu tofauti na wako.

Tunza heshima yako wote unaobishana nao hakuna muoaji ni porojo tu zisizo na maana.

Nyamaza ili nione sijakosea kukuheshimu nikuheshimuvyo.
 
Back
Top Bottom