jr boy
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 215
- 226
kiongozi ume lenga mule mule huyu miaka kweli kapunguza maana kama ana miaka 28 ange sema hata mwanaume wa kuanzia 30+Pole sana, hakuna msichana wa umuri wako ambae hajawahi kupata mchumba wa kumuoa. Shida kubwa wadada mkiwa hot mnavutia mnanyodo sana hasa ukute unakielimu kako kidogo kichwani au familia inakauwezo kamboga tatu basi tabu tupu, mbwembwe, pozi, maringo mengi mwisho ndio kama hivi.
Miaka 28 bado uliyoipunguza, ukizaa kwa mpango kupishanisha watoto kwa miaka mitano watoto 3 siutafia leba wewe?