Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto


Kuna member mmoja humu ndani alikuja na bandiko analalamika kuwa mke wake (Wamefunga ndoa hivi karibuni) alimkatalia sex hadi baadaa ya ndoa, baada ya ndoa anakuta mwanamke anatatuu ya jina la bwana wake aliyembikirua pembeni kidogo ya papuchi. Now analalamika anataka kuvunja ndoa, kashindwa kabisa kuvumilia.

Point yangu dada yangu, kwa sisi mafisi wa kizazi hiki omba sana Mungu akusaidie maana kumpata wa hitaji la moyo wako si kazi ndogo. Ni wachache sana wanaoweza kwenda na beats za "Sex hadi ndoa"
 
ka uko bikra ni pm.
 
Yani wengine umewapa wamekula weee hawajaoa halaf ambae anataka kuoa ndio anaambiwa asubiri....hehehehehe


Miaka 28 jua limekaribia magharibi....ww unayo kazi halali?!
Chaajabu hao waliopita akikutana nao chobingo anawapa.
 
Sasa kama.unajua hao waoaji hela ya Boxa anatuma baba mkwe
Unafanya nn kwenye hii thread?
Duuu ndo wanawake tulionao siku hz Hawa sishangai
Ndo hao menopause ikisogea wanakuja na thredi zenye masharti.
 
Mimi nipo nilioa MWANAMKE asiye na sifa kama zako nilimuacha,kwa kua wewe una sifa nizitakazo ni pm.
 
Dada ni vema umeweka vigezo vyako hadharani, nina swali kama hautajali; Je upo tayari kuolewa mke wa pili kwenye ndoa ya kiislamu?
 
Fact things[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…