Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Ukishampata humu usisahau kutuletea kadi ya mwaliko!!
All the best bibie
 
Nilishakuwa kwenye mahusiano. Na ndo mana nikaweka hivyo sihitaji sex kabla ya ndoa. Atakae kuwa tayari atakubaliana Nami
Mhhhh!! Watu siku hizi wanaonja kwanza. Siyo aje kuoa akute papuch yako ni swimming pool na hivi unasema ulishakaa kwenye mausiano. Au akute kumbe mgumu wa kudo. Ukido kamoja tayari unalalama au akute mkavu mpaka utumie mafuta ya kurainisha
 
Huchagui din je huyo utakayempata akiwa na iman tofaut na yako inakuwaj hapo
 
Watu wengi tunahisi ndoa ndiyo ultimate goal kwa mwanamke, ndiyo maana kuna wadau wanaandika kama vile wakitaka mleta uzi aongee kwa kuomba na kubembeleza.

Siyo kweli

Pengine ndoto zake zote kashazifikia ni hii moja tu ndiyo kaiacha na kaamua kutunuku wadau wa humu.

NB.
Wadada JF huu umri mnaoutaka kwa bongo huyo mtu ukimkuta single labda ni mjane, single father, au ni mtalaka.
 
Wewe vipi watu lazima watest machine kwanza kuoa baadae ndo maana hupati.
 
mbona wapo kibao?
 
Moja ambayo unaweza kukufanya uwe so desperate
 
Mhhhh!! Watu siku hizi wanaonja kwanza. Siyo aje kuoa akute papuch yako ni swimming pool na hivi unasema ulishakaa kwenye mausiano. Au akute kumbe mgumu wa kudo. Ukido kamoja tayari unalalama au akute mkavu mpaka utumie mafuta ya kurainisha
kumbe una mambo ?
 
Wanawake huwa wako hivyo, ukimfuata serious unataka kuoa, atakukejeli, oo mbona we mkubwa sana, ujana wako umekula na wengine unaniletea uzee wako! Halafu wanawakubali vijana masharo wanatafuna mahindi yote, likibaki gunzi ndiyo linawekewa masharti mpaka uoe ndipo uangalie hilo gunzi kama lina punje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…