Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

we mzee lala usitafutie watu murder case! ukipewa papuchi wewe si case tu? ukiona tu unazimia kwichikwichi si matanga kabisa
usitake kukimbia na huna breki!!!!!!
Nani alisema nataka papuchi za vinuka mkojo?? Nikitaka papuchi natumia za wazee wenzangu, mwendo wa taratibu katika vilimba vya juu. Hivyo vi mbio vyenu mkavifanyie huko gesti na vijana wa ndoto zenu... ambao kila siku mnawatafuta lakini wanawakimbia...
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Njoo INBOX kama kweli unania ya dhati nasiyo kupost ili upate Comment nyingi.
Nataka uwe teyar kusimamia Miradi yangu na siyo uwe Mama wa nyumbani tuu usiyejishughulisha..
 
Nimependa sana kwa kuwa unajitahidi kujibu hoja. Nakushauri useme neno kuhusu dini Kwani ni jambo la msingi sana katika ndoa. Nakuombea ufanikiwe.
usiwe tu mfuasi wa kibwetere dini zote anazikubali
 
Nani alisema nataka papuchi za vinuka mkojo?? Nikitaka papuchi natumia za wazee wenzangu, mwendo wa taratibu katika vilimba vya juu. Hivyo vi mbio vyenu mkavifanyie huko gesti na vijana wa ndoto zenu... ambao kila siku mnawatafuta lakini wanawakimbia...
ahahaaa sizitaki mbichi hizi wakati unamendea hadi kuziota
 
Hivi Mwanamke anaanzia umri gani na Msichana anaanzia umri gani
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Najaribu kufikiria wanaume wa ndoa zama hizi tena kwenye jamii forums mmmh.
 
usipooa? ina maana atapitiwa na wangapi kisa ndoa ? si bora aache tu
mwanamke wa kuoa anajulikana, atoe papuchi sababu ya mapenzi sio kwa sababu ya ndoa yan hapo hiko kigezo ni kama kumuweka mwanaume mateka na ransom Ni ndoa, bila ndoa no papuchi

Iko siku ndani ya ndoa utanyimwa tens hadi umfanyie kitu flani Ni ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma comment nimecheka sana,

mtafutaji mme mwenyewe mkali huyo sipati picha huyu mme wake atakayempata humo ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom