2021mao
Member
- Aug 19, 2021
- 79
- 75
Ni PM tuyajenge nakusubiri.Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali