Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Una TAKO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninalo kama lako sasa sijui itakuaje[emoji23][emoji23]Una TAKO?
Nipe picha yako inbox hatutaki John CenaNahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Una TAKO?
Uko serious kweli bibie? Mtu anauliza swali la msingi, halafu unamjibu kimasihara tu!Ninalo kama lako sasa sijui itakuaje[emoji23][emoji23]
Ninalo kama lako sasa sijui itakuaje[emoji23][emoji23]
Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejal
Anatafuta mume halafu jeuri hivi, akimpata itakuwaje?Uko serious kweli bibie? Mtu anauliza swali la msingi, halafu unamjibu kimasihara tu!
Na hili ndilo tatizo lenu kubwa! Hamtaki kabisa kutoa wasifu wenu kwa kina. Sijui hamjui kama nyinyi ni maua mazuri na pia mapambo ya nyumba zetu!
Alikupasia?Ukipata wawili nipasie mmoja
Njoo nipo dodomaNahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Habari ya asbhNahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
nyie wasomi mnatusumbuaga sanaNahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Sifa zote ninazo njoo pmNahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali