Nahitaji mume, miaka 39-50

Nahitaji mume, miaka 39-50

Vigezo vingine mnavyowekaga ndiyo vinawafanya unafika 40 hujapata mtu wa kueleweka. Kila la kheri ma'am
 
Kweli ww unamatatizo miaka kuanzia 39 asiwe Mme wa mtu haya endelea kuweka mashart ukilegeza urudi hapa tena
 
Kweny username yako kuna herufi 'N' imekosekana asa sijui ni kwa bahati mbaya au ndo ulipenda iwe ivyo!

Ila acha nipite pembeni maana nimekuta sina vigezo
Miaka 39 hana mke paka sasa na huyu jina lake litakua da ngulo pia
Kweli ww unamatatizo miaka kuanzia 39 asiwe Mme wa mtu haya endelea kuweka mashart ukilegeza urudi hapa tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu umegusa vyeo kama vyeo vitatu hebu weka sawa ili wadu waelewe..
tapatalk_1594022380764.jpeg
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Duuuh
 
Haya masihara ukiendelea nayo, hutokuja uolewe! Shauri yako.
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Ni pm nikupe connection nzuri utaniokubalia
 
Kweny username yako kuna herufi 'N' imekosekana asa sijui ni kwa bahati mbaya au ndo ulipenda iwe ivyo!

Ila acha nipite pembeni maana nimekuta sina vigezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] da ngu lo
Au sio
 
Back
Top Bottom