Nahitaji mume, miaka 39-50

Nahitaji mume, miaka 39-50

Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
hakunaga
 
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mlioutoa kwenye post yangu.Mbarikiwe wote hata wale mliokejeli.Karibuni sana kwenye Sherehe ya harusi yangu mwez wa kumi.NAWATAKIA KILA LA KHERI.
 
Kweny username yako kuna herufi 'N' imekosekana asa sijui ni kwa bahati mbaya au ndo ulipenda iwe ivyo!

Ila acha nipite pembeni maana nimekuta sina vigezo
Huyu itakua ni dada glory kafupisha dagulo🤣🤣
 
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mlioutoa kwenye post yangu.Mbarikiwe wote hata wale mliokejeli.Karibuni sana kwenye Sherehe ya harusi yangu mwez wa kumi.NAWATAKIA KILA LA KHERI.
Tunakuja pm au ndio ilikua unatutishia maana umepata kwa haraka
 
Ulikuwa wapi enzi hizo au umemaliza mwendo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
We hukosi miaka 35 jua limezama
 
Nahitaji mume wa kuanzia miaka 39 hadi 50. Awe mrefu na mkweli. Awe serious & Mwenye hofu ya Mungu. Nimejiajiri&nina mtoto mmoja.

MUME WA MTU PITA PEMBENI, WENYE UMRI CHINI YA 39 PITA PEMBENI. KARIBU PM
Bange!
 
Back
Top Bottom