Nahitaji mume mkristo

Je Mbeya, Rukwa, Katavi kijiografia zipo uelekeo upi wa Tanzania?
Kusini Magharibi mwa Tanzania. Hajataja zone so namshangaa jamaa aliyesema eti hii ni zone mpya wakati P-Lissa ametaja direction tu.
Unajua mkuu Kuna watu wanajiona wanajua lakini wanafanya makosa madogo madogo katika uwelewa wao yanayowafanya waonekane ni walewale tu.
 
Kusini Magharibi ni maeneo kama Katavi au Rukwa hivi. Daah! Napapenda sana huko , Tafadhali njoo DM ila mm nipo Dar ea salaam
 
Nj
Njoo dm
 
Ujuaji wa kilofa sehemu isiyohusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wangu sihitaji kuzaa, nahitaji wa kuishi nae tuu.
Njooo pm.
 
Kwa ushauri ongeza ongeza umri wa mume angalau uanzie 45 maana naona upo kwenye hatari ya kuongezewa mtoto mkubwa mwenye ndevu zake au kuzalishwa tena wengine.
 
Another one from Single mother 34 years. Ukimpata msisahau kutuma kadi ya michango kimsingi nitachangia depends on financial situation nitayokuwa nayo wakati husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…