Nahitaji mume mwema jamani

Yaani wewe ingekuwa mcha Mungu basi ungechaguliwa toka kanisani kwako unskosali sasa inaonyesha hata liturujia huijui, pia ungekuwa na maadili mema hiko mtaani unakoishi ungekuwa umeshajipatia mume mapema bt km umefika hapa JF fahamu hapa hamna ndoa ila utakuwa na wakati mgumu wa kupata hitaji lako. Ndoa sio lazima hata biblia imesema juu ya maishs ya useja na matowashi.
 
Usikatishwe tamaa ndoa ni kuridhiana na haijarishi mlikutana wapi kikubwa lengo litimie hebu ni PM tukiridhiana itakua vyema
 
first umri usije ukawa bi.kizee teh teh .... na jina lako halisi
we unazani bado mbichi?
almost kinadada wanaokuja kutafuta waoaji huku JF ni offside km sio extratime
 
Waume wema mnaitwa huku CC to unmarried men wa jf
 

Jina lako linaogopesha
 
asiyepiga ovyo
Mimi sipigi ovyo, napiga with a reason, nalenga sehemu za mwili ambazo hazihatarishi maisha yako, na ni mara moja moja.

Na sifa nyingine ulizotaja ninazo.

Unasemaje hapo?
 

Jina lako limeniogofya
 
mke mwemaaaa anatoka kwa JF, nimewaombaaa ....wanajamvi wa nisaidie.:kev:
 
jmn acheni kumkatisha tamaa mdada wa watu ye kaona jf ni right place kwa ajili ya kupata mwenza wake mbona kuna wengine wamepatana kanisani lkn mahusiano yao yamekuwa longolongo lkn wngne wanakutana social networks na still mahusiano yao yanakuwa poa tu
 
usijali utampata tuu ummpendaye achana na hawa wanaokukatisha tamaa.
 
"...sipendi mwanamke anayependa pesa ndogo...napenda amsifie bosi wangu ili nizidi kutafuta pesaa...asipende gari baya bali apende verosaa...."


Unajiita pesa ndogo....tayari ushaleta umaskin ndani ya nyumba. Bora ungejiita pesa kubwa.
 
data Mi ningependa PesaNdogo aweke picha yake ingependeza angalau!

Hahahahh. Utakimbia ukiona sura zao.
Kuna post moja nilisoma hapa JF kitambo kidogo. Kuna kipindi wana JF walikutana mkoani, na wakatambulishana Ki JF-JF, kuna mmoja (KE)akalalamika kwamba watu hawakuwa na time nae kabisa kwenye hiyo outing, ilhali hapa JF ni superstar wa nguvu sana na wanamshobokea. Kisa cha kutengwa? Anajua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…