Mi mwenyewe natafuta mke anayependa kudundwa, mwenye majungu, chuki, kisirani, gubu, mchawi, mpenda limbwata, malaya, msengenyaji, msimangaji, mgomvi na mwnye kila aina ya tabia mbaya. Naamini nitampata hapahapa jamviniHabari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Fedora uko darasa la ngapi vile?Utampata vp xaxa??
Mume mweme happatikani Jf, anatoka kwa Mungu, lakini kabla hujatyakaa mume mwema jiuliize je wewe ni mke mwema?
Kama wewe. Ni kiruka njia utapewa kiruka njia wa kufanana na wewe.'' Akamfanyia msaaidizi wa kufanana naye''. Nakushauri utume application yako kwa Mungu.
Yehoshua Hamochiah
sasa mimi nitakuwa mwanafunzi wako wa primary kwamba unanipiga etu swhemu maalumu ka labda matakoni, mikononi nkMimi sipigi ovyo, napiga with a reason, nalenga sehemu za mwili ambazo hazihatarishi maisha yako, na ni mara moja moja.
Na sifa nyingine ulizotaja ninazo.
Unasemaje hapo?
disqualifiedMi mwenyewe natafuta mke anayependa kudundwa, mwenye majungu, chuki, kisirani, gubu, mchawi, mpenda limbwata, malaya, msengenyaji, msimangaji, mgomvi na mwnye kila aina ya tabia mbaya. Naamini nitampata hapahapa jamvini
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂