Nahitaji mume mwema jamani

Nahitaji mume mwema jamani

Mume mweme happatikani Jf, anatoka kwa Mungu, lakini kabla hujatyakaa mume mwema jiuliize je wewe ni mke mwema?

Kama wewe. Ni kiruka njia utapewa kiruka njia wa kufanana na wewe.'' Akamfanyia msaaidizi wa kufanana naye''. Nakushauri utume application yako kwa Mungu.

Yehoshua Hamochiah
 
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Mi mwenyewe natafuta mke anayependa kudundwa, mwenye majungu, chuki, kisirani, gubu, mchawi, mpenda limbwata, malaya, msengenyaji, msimangaji, mgomvi na mwnye kila aina ya tabia mbaya. Naamini nitampata hapahapa jamvini
 
Sio kwamba sija apply kwa Mungu, hlf sio kwamba bas mtu akisema yeye ndiye bas tunakurupuka tu na kuoana.
 
Pole sana ungewahi Wiki jana ungenipata nilikua bado nipo Mpweke, Usikate tamaa
 
Mimi sipigi ovyo, napiga with a reason, nalenga sehemu za mwili ambazo hazihatarishi maisha yako, na ni mara moja moja.

Na sifa nyingine ulizotaja ninazo.

Unasemaje hapo?
sasa mimi nitakuwa mwanafunzi wako wa primary kwamba unanipiga etu swhemu maalumu ka labda matakoni, mikononi nk
umenichekesha
 
Mi mwenyewe natafuta mke anayependa kudundwa, mwenye majungu, chuki, kisirani, gubu, mchawi, mpenda limbwata, malaya, msengenyaji, msimangaji, mgomvi na mwnye kila aina ya tabia mbaya. Naamini nitampata hapahapa jamvini
disqualified
 
ili umpate huyo mwanaume mwema inabidi kwanza na wewe uwe mwema, huwezi :smile-big:kuwa kicheche halafu ukategemea kupata mwanaume mwema, vizuri lakini jitahidi kumtafuta UTAMPATA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asante, Mi nitakuwa mke mwema pia
 
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂

kwanza wewe uwe mke mwema mi pia natafuta mke mwema
 
Kwan wewe kabila gani, dini, elimu yako na hobie yako na unajishughulisha na nini sasa
 
mmmh kuweni makini mingine ni mijidume humu inachezea watu usije ukapewa appointment ya kwenda kukutana na huyo mke mwema usiku ukashangaa unaacha korodani zote huko huko!tangu lini mke mwema akapatikana humu humu tupo watoto wa mujini tu!
 
Back
Top Bottom