LWITIKO LWITIKO
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 118
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Asante kwa mawazo yakoPole kwa ndoto zako za ali na jaha. Kupata mume wa kiukweli hapa Afrika sijuwiiiiii? Mnaanza taratibu kwa mapenzi ya dhati, then ndani ya wiki mbili tu unageuzwa pazia. Bongo bwana, tunaendekeza sana nyumba ndogo. Mi nafikiri kwa kuwa wanaume wengi tunajuwa kuwa wake zetu ni jamvi la wageni hivyo kwa kuwa hatutaki kelele za kufuatiliana nasi tunajitahidi kuwa na nyumba ndogo lukuki huko nje na kususa wake zetu kisailenti. Mke akipiga kelele baba fulani mbona hunijali unasingizia kazi nyingi au kitu chochote tu cha kumtuliza mkeo asikusumbue. Haya ni baadhi tu ya maneno ninayosikia kwa watu nje.
Tena wewe hata avatar yako inajieleza, sijui kama atarudi.weka picha bc nione kama unalipa.
msihofu, mwenyezi Mungu alitulia wakati ananiumbaHahahahh. Utakimbia ukiona sura zao.
Kuna post moja nilisoma hapa JF kitambo kidogo. Kuna kipindi wana JF walikutana mkoani, na wakatambulishana Ki JF-JF, kuna mmoja (KE)akalalamika kwamba watu hawakuwa na time nae kabisa kwenye hiyo outing, ilhali hapa JF ni superstar wa nguvu sana na wanamshobokea. Kisa cha kutengwa? Anajua mwenyewe
asanteWote wanaowapiga hao wake zao mwanzo walikuwaga hawana mawazo hayo,,badae na mauzi2 yenu wanawake inabidi muanze kupgwa na kusalitiwa,unakuta mdada alikuwa msafi anajipenda akiolewa anakuwa mchafuuuu,,mvivuuuuuuuuuu afu ana majibuu mabovu ,,, inabidi apigwe,mume anapoteza sifa ya kuwa mume mwema,,zaidi take time,msome m2 usimkubali mapema alafu uwe sirious na ibada sio ile ya kutaka uonekane kwamba na wewe ni mke mwema
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
rejea comments za mpiga wanawake mwenzio. Automatically you are unqualified for the position