Nahitaji mume mwema jamani

Nahitaji mume mwema jamani

mmmh kuweni makini mingine ni mijidume humu inachezea watu usije ukapewa appointment ya kwenda kukutana na huyo mke mwema usiku ukashangaa unaacha korodani zote huko huko!tangu lini mke mwema akapatikana humu humu tupo watoto wa mujini tu!

Jamani wewe, Mi binti. Hlf makorodani wanafanyia nini hapo yakiachwa
 
sasa mimi nitakuwa mwanafunzi wako wa primary kwamba unanipiga etu swhemu maalumu ka labda matakoni, mikononi nk
umenichekesha
Well, kwenye mahusiano kuna kitu kinaita role playing, kama vile kujifanya mmoja ni baba wa mwingine. ikiwa ni pamoja na kuulizans "who is your daddy" panapo wakati muafaka. Kwa siyo tunaweza kufanya role playing ya mwalimu na mwanafunzi.

Sasa unless umebadilisha vigezo na masharti, nadhani niko kenye mstari. Unasema hutaki mtu anaepiga ovyo. Well, mimi napiga kwa mpango, for one, sipigi vital organs, more than that, sipigi kila dakika, na nikipiga napiga with a reason, sio ovyo ovyo. Unless hutaki kupigwa at all.
 
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Sister you are looking for a needle in hay stake unahitaji darubini na hadubini kupata aina hiyo-Good luck
 
Mie bahati mbaya nilisha OA ila km unataka NIKUWOWE hamna tabu:noidea:
 
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Mimi sijui hata unachokitafuta humu au ni kwichikwichi manake wewe ni sumaku unavuta vile unavyofanana navyo kama wewe ni mwema utampata tuu aliye mwema wasiwasi wako nini ukiijua kweli itakuweka huru wewe hujui tu kipi ni kipi
 
Mie bahati mbaya nilisha OA ila km unataka NIKUWOWE hamna tabu:noidea:
Nlimaanisha mume mwema ambaye ni single,hajaoa. Waume za watu tafadhalin mkae mbali nami kwa suala la kimahabati
 
Kila la kheri bidada achana na hao wasiokosa la kusema, na hili jukwaa hii ndio kazi yake, lakini watu wanakuwa wakali utadhani wamelazimishwa kusoma hii post....... kwani wa JF ni wawapi? si wahuko huko mitaani? acheni hizo.
 
udhushi! Watoto wemu watakua bongofraver na fb tu. Ohoo
 
Unahitaji mwanaume wa umri wowote hata mstaafu au vipi?
 
Huu ndo upumbavu wa kusoma maandiko na kutoyaelewa. Wapi alipo bwana ili apatikane mume mwema. Mnajifanya walokole kumbe walevi tu. Mnachojua ni kukatishana tamaa tu.
Nani kakwambia Mwanaume mwema anapatikana huku? Nenda kwa Viongozi wako wa Dini wakuongoze. Imani/Dini yangu inaniambia 'Mke/mme mwema atoka kwa Bwana' Mithali 19:14-15. Mtangulize Mungu kila jambo, usipende kutumia akili zako au watu ambao hawana hofu ya Mungu.
 
Kila la kheri bidada achana na hao wasiokosa la kusema, na hili jukwaa hii ndio kazi yake, lakini watu wanakuwa wakali utadhani wamelazimishwa kusoma hii post....... kwani wa JF ni wawapi? si wahuko huko mitaani? acheni hizo.
asante
 
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana jf kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema🙂
Nenda kwenye kanisa la efatha. Utawakuta kibao.
 
Mimi sijui hata unachokitafuta humu au ni kwichikwichi manake wewe ni sumaku unavuta vile unavyofanana navyo kama wewe ni mwema utampata tuu aliye mwema wasiwasi wako nini ukiijua kweli itakuweka huru wewe hujui tu kipi ni kipi
naongeza sample space ili probability iwe kubwa ktk kumvuta anayenifaa
 
Well, kwenye mahusiano kuna kitu kinaita role playing, kama vile kujifanya mmoja ni baba wa mwingine. ikiwa ni pamoja na kuulizans "who is your daddy" panapo wakati muafaka. Kwa siyo tunaweza kufanya role playing i mwalimu na mwanafunzi.

Sasa unless umebadilisha vigezo na masharti, nadhani niko kenye mstari. Unasema hutakiy mtu anaepiga ovyo. Well, mimi napiga kwa mpango, for one, sipigi vital organs, more than that, sipigi kila dakika, na nikipiga napiga with a reason, sio ovyo ovyo. Unless hutaki kupigwa at all.
hujaelewa context ya hiyo part, maana yake ni mtu mwenye wepesi ktk kupiga namaanisha sitaki na sipendi kupigwa
 
Back
Top Bottom