Nahitaji mume mwema!

Sina shida ya kazi nahitaji mume , kazi ninayo tens nzuri na yenye heshima

-
Soma comment yangu vizuri uielewe,sijakwambia kua huna kazi,

Halafu kwa jinsi ulivyojibu unaonekana wewe ni mjeuri,mkorofi na una majigambo,waowaji kazi kwenu ila msije kuanzisha uzi humu kuja kutulalamikia.
 
Mimi mchaga nishakosa mke hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo mkuu no-mtoto,no-mume,kutakuwa na tatizo mahali?Kama una mwili mkubwa jaribu kuupunguza.
 
hivi wachaga na wahaya wana nini kwan mbon hawatakiwi s?i kwa female si kwa male... sasa hao mnataka waoane wenyewe?? [emoji22][emoji22][emoji22]

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Karne ya 21 bado unawabagua watu kutokana na makabila yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetutenga kabisaaa hata sisi wakina mangiiii?
 
Njoo nikusilimishe nikuvalishe Hijabu kama utapenda
 
Elimu ya juu ndo elimu gan sorry hapo sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn siyo lazima huko tu hata hapa panafaa so uniingilie kwenye Uhuru wangu, usikute we mwenyewe ulipo hujaolewa

-
Hamna mke hapa, huyu anaonekana ni kisirani na mwanamke mkorofi.

Narudia kusema tena hamna mke hapa.

Na nimepata jibu kwanini hadi jua limezama(34) hujapata wakukufariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…