malongwe
Member
- Feb 9, 2019
- 22
- 19
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu!
Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni.
Niseme kweli kwasisi wanawake kutafuta mume mtandaoni ni rahisi zaidi maana wale tunaonana nao uso kwa uso ni vigumu kuwatongoza kutokana na tamaduni za kiafrika anaetongoza ni mwanaume pekee.
Kwahiyo najua wengine mtanikatisha tamaa lkn jibu langu ni moja hata hapa naweza pata mume , kama ni suala la utapeli upo kila mahali hata kanisani na misikini pia utapeli unaweza kuwepo.
....Baada ya angalizo hilo niende kwenye mada tajwa..
Sifa zangu.
Umri miaka 34
Elimu ya juu
Muajiriwa
Mkristo
Sina mtoto
Msukuma
Sifa za nimtafutaye
Umri miaka 30-45
Elimu yyte
Awe na shughuli yyte
Mkristo
Asiwe na mtoto zaid ya mmoja
Kabila lolote kasoro, mnyakyusa, mhaya, mzaramo, mha na mchaga.
Karibu, vigezo na mashart kuzingatiwa
-