Nahitaji mume nipo serious, itapendeza kama akiwa ni mwanasheria

Nahitaji mume nipo serious, itapendeza kama akiwa ni mwanasheria

Habari zenu wanaume?Mimi Nina miaka 23,nipo DSM.Nafanya kazi katika kampuni moja IPO hapa hapa DSM.Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo,Nita penda Kama akiwa ni mwanasheria.Kama unahisi tuta faana kindly ni PM.
Unaonekana mbeya sana mtaani weye.Unataka mwanasheria awe anakutetea kwenye baraza la usuluhishi?
 
Yuwapiii wangu MUHIBU...

Yuwapiii wangu MUHIBU...

Nateseka na Majonzi...

Nateseka aa na Majonzi...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole dada yangu,ukiona hali kama hiyo,basi ujue ni hatari,bila shaka kuna mtu amekuumiza,hivyo unataka kumjibu kuwa unaweza kuolewa na mtu yeyote zaidi yake,uwe makini,akili za wanaume tunajua wenyewe,kama utakuwa cute,utaolewa kwa miezi 3, then jamaa anakutema,maana atakuoa kwa kukutamani,tuliza hisia,muombe Mungu atakujibu maombi yako
 
Back
Top Bottom