Nahitaji mume nipo serious, itapendeza kama akiwa ni mwanasheria

Takisha jolly

Member
Joined
Feb 4, 2018
Posts
27
Reaction score
20
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.
 
Habari zenu wanaume?Mimi Nina miaka 23,nipo DSM.Nafanya kazi katika kampuni moja IPO hapa hapa DSM.Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo,Nita penda Kama akiwa ni mwanasheria.Kama unahisi tuta faana kindly ni PM.
Unaonekana mbeya sana mtaani weye.Unataka mwanasheria awe anakutetea kwenye baraza la usuluhishi?
 
Yuwapiii wangu MUHIBU...

Yuwapiii wangu MUHIBU...

Nateseka na Majonzi...

Nateseka aa na Majonzi...
 
Reactions: BAK
Pole dada yangu,ukiona hali kama hiyo,basi ujue ni hatari,bila shaka kuna mtu amekuumiza,hivyo unataka kumjibu kuwa unaweza kuolewa na mtu yeyote zaidi yake,uwe makini,akili za wanaume tunajua wenyewe,kama utakuwa cute,utaolewa kwa miezi 3, then jamaa anakutema,maana atakuoa kwa kukutamani,tuliza hisia,muombe Mungu atakujibu maombi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…