Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 1,912 Reaction score 2,254 Aug 12, 2018 #121 Bado haujawa serious, ukiwa serious utasema tu
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Aug 12, 2018 #122 Siasa Basi said: Mimi ni mwanasheria kama ulivyotaka, ninataka mke haswa. Ila nina watoto watatu kila mmoja na mama yake. Je utakuwa tayari? Click to expand... Nitachangia harusi yako
Siasa Basi said: Mimi ni mwanasheria kama ulivyotaka, ninataka mke haswa. Ila nina watoto watatu kila mmoja na mama yake. Je utakuwa tayari? Click to expand... Nitachangia harusi yako
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Aug 12, 2018 #123 Mwifwa said: Japo uzi unaendelea kuchanja mbuga, sio vibaya tukakumbushana. Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume Click to expand... wewe sio mwanasheria ondoka kwenye huu uzi au unadhani stabadili mawazo?
Mwifwa said: Japo uzi unaendelea kuchanja mbuga, sio vibaya tukakumbushana. Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume Click to expand... wewe sio mwanasheria ondoka kwenye huu uzi au unadhani stabadili mawazo?