Mwizukulu jilala
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 1,095
- 937
ANAWEZA KUWA MWANASHERIA KITAALUMA LAKINI HANA AJIRAHabari zenu wanaume?Mimi Nina miaka 23,nipo DSM.Nafanya kazi katika kampuni moja IPO hapa hapa DSM.Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo,Nita penda Kama akiwa ni mwanasheria.Kama unahisi tuta faana kindly ni PM.