Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
I know it!You don't have to forget "fidulu fya ng'uku"!Sweetest song when someone is a bit high!Hahahahahaaahahahaha tunadua !sapula matunda na mapilipili...do u knw ths song?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know it!You don't have to forget "fidulu fya ng'uku"!Sweetest song when someone is a bit high!Hahahahahaaahahahaha tunadua !sapula matunda na mapilipili...do u knw ths song?
I know it!You don't have to forget "fidulu fya ng'uku"!Sweetest song when someone is a bit high!Hahahahahaaa
Ludodo ludodo bela.Uwunono!hhahaha aisee !ke anywesige lulasi !ukuduva luhulo
Nyie wahuni sana.Kwahiyo sisi wafanya biashara hatuna nafasi kwako?
Hilo kaburi la naman ya kuandaa tangazo kama hili.Wazee makaburi
Hivi ile juzi ghafla ban au uliweka tu avatarHilo kaburi la naman ya kuandaa tangazo kama hili.
Naam, maneno kuntu kabisa, mume hatafutwi kama nyanya sokoni.Pole dada yangu,ukiona hali kama hiyo,basi ujue ni hatari,bila shaka kuna mtu amekuumiza,hivyo unataka kumjibu kuwa unaweza kuolewa na mtu yeyote zaidi yake,uwe makini,akili za wanaume tunajua wenyewe,kama utakuwa cute,utaolewa kwa miezi 3, then jamaa anakutema,maana atakuoa kwa kukutamani,tuliza hisia,muombe Mungu atakujibu maombi yako
hahaaaaaDada usiwe na wasiwasi board ya mkopo (heslb) hawatakupeleka mahakamani ata siku moja, be happy tafuta mume mwenye kazi yoyote tu akupendaye.
Habari zenu wanaume?Mimi Nina miaka 23,nipo DSM.Nafanya kazi katika kampuni moja IPO hapa hapa DSM.Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo,Nita penda Kama akiwa ni mwanasheria.Kama unahisi tuta faana kindly ni PM.
kama matusi mwenyewe...
nakutania bhana ..dont take it serioussio tusi
nakutania bhana ..dont take it serious
salutesikuwa serious na mm !amani
Hello Takisha!Habari zenu wanaume?Mimi Nina miaka 23,nipo DSM.Nafanya kazi katika kampuni moja IPO hapa hapa DSM.Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo,Nita penda Kama akiwa ni mwanasheria.Kama unahisi tuta faana kindly ni PM.
Nadhani amekuelewa akili yake imekaa ktk vigezo vya mne mtarajiwa wkt kuomba kwa Mungu amefeli.Hello Takisha!
Nakupongeza kwa hatua hii, siku hizi inafaa, ndio maendeleo yenyewe. Ila natoa angalizo kidogo tu kwako.. Mume mwema/bora kwako ni yule tu atokanaye na Mungu, na ni kwa njia ya sala tu waweza kuwasiliana na Mungu wako kumpelekea ombi hilo, Yeye anamjua mumeo alipo. Wenye ufahamu watasaidia juu ya "Namna gani utajua kuwa huyu ndiye Mungu aliyekupatia?" Nikipata jibu pia nitakupa. Ila usiweke kigezo chochote mbele Yake zaidi ya mume atakayeendana na wewe, Yeye alikujua hata kabla hujazaliwa! Anaweza kuwa mwanasheria lakini..., anaweza kuwa tajiri lakini..., anaweza kuwa hajasoma lakini..., anaweza kuwa masikini lakini.... Mkabidhi Mungu na usijali kuhusu muda. Kuna vilio vingi kwenye ndoa nyingi, jaribu kuvipunguza kwako kwa kumshirikisha Mungu.
Inna morata, Dailat