Nahitaji mume nipo serious, itapendeza kama akiwa ni mwanasheria

Ukikosa mwanasheria,mpiga debe stand ya mabasi nipo hapa,hiyo ndio fani yangu pendwa.Kama itafika kipindi unahitaji mwanaume yeyote hauchagui proffesional!!
 
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.
VP, una kesi?
 
Mliilie mungu wako akupe MTU wa kufanana na wewe. Over
 
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.

Yani kujoin to jf unatafuta mabwana kumbuka hapa sio baduu we mtotoo
 
Umesha maliza ile kesi yako ya kwenye vikoba? Au ndiyo unataka aje akusaidie?

Wanasheria wapo wengi.utampata tu
 
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.
Safi .
Karibu
 
Mimi sio mwanasheria ila nafanya kazi taasisi ya serikali. Karibu tuyajenge
 
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.
Vipi umeshampata! Lete mlishonyuma, niangalie kama naweza kujitosa.
 
Habari zenu wanaume?

Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama akiwa ni mwanasheria.

Kama unahisi tutafaana kindly ni PM.
wa kuishi muda gani? kama kuishi tu mm niko tayari tuishi miaka mitano tu na hamna ndoa...upo tayari?
 
Dada unatafuta mume au mwanasheria akusaidie kesi zako?
 
Back
Top Bottom