Nahitaji mume serious

Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo vya Mume anayetaka huna.
Poleeee
Alafu nikuibie siri kwa sasa nipo nachonga nae hapa..
Shida ipo wapi sasa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Wee kaa hvo hvo na vigezo vyako vya ajabu
 
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.

Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.

Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu

Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu.
Sina mahusiano na baba mtoto wangu kiufupi maisha yamenipiga viboko sana kwahiyo nilijifunza vingi

Mimi ni mama bora wa familia pia mchapakazi.

Mume ukiwa na mtoto mmoja au wawili itapendeza.

Mume uwe unafanya kazi au biashara.

Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.
Picha na dini
 
Ila harmonize ๐Ÿ‘
 
Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.n

Nipi-PM na Mimi ningiie kwenye kura za maoni...
 
Hapa ndio pamefanya niishie nilipoanzia single mother hamsahau Baba wa mtoto wake any time Jamaa anarudisha majeshi kuja kuendeleza alipoishia kuibonyeza HIO Mbunye, anaetaka kujilipua acha ajilipue tu

Midekoo uje mara moja
Alipoishia?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom