Nahitaji mume serious

Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
Mimi ningekufaa maana ni single dad Ila watoto mama yao alininyang'anya Ila Sasa unielekeze vizuri unaposema uko vizuri kiuchumi unamaanisha nini ?
Mimi mwenzio napenda nikuzudi hela sio wewe unizidi utanitesa sana ,fanya hivi dondoka PM yangu Ila uje na umri wa ukweli na chanzo Cha mapato yako pasina kusahau ,ukweli kuhusu hali ya muundo wako wa mwili hasa nyuma .
We jamaa unachotaka ni hiyo sentence ya mwisho tu. Kwingine mbwembwe tu.
 
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.

Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.

Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu

Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu.
Sina mahusiano na baba mtoto wangu kiufupi maisha yamenipiga viboko sana kwahiyo nilijifunza vingi

Mimi ni mama bora wa familia pia mchapakazi.

Mume ukiwa na mtoto mmoja au wawili itapendeza.

Mume uwe unafanya kazi au biashara.

Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.
Here madame, nipo tayari
 
Mtu anatafuta mume, kuna mipuuzi inatongozana tena humu,
Mingine inatambiana,
Alafu kesho vijana mnalalamika oooh hatuna wapenzi wema. Mpenzi huyo mara staki mwenye hela, staki mwenye mtoto, maadafka,
Alafu nyie mbwa mnajifanya mnajuana humu jf, mnazingua big time kafungueni nyuzi zenu.
Washamba sana nyie wadada na wakaka next time nawaponda na nawataja majina. Mnazingua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom