Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nimefurahi pia, kuwaona hapa wakaka wa Hall 5. Jioni yangu itakuwa nzuri sana KapachinoWewe ni lizuri
Nimefurahi sana kukuona Bl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi pia, kuwaona hapa wakaka wa Hall 5. Jioni yangu itakuwa nzuri sana KapachinoWewe ni lizuri
Nimefurahi sana kukuona Bl
Nafanya mazoezi siku hizi, nimepunguza 😇Hapa Naona jicho tu na zigo huwezi amini
Ndio naye kuonaga kule mitaa ya gym ya KamNafanya mazoezi siku hizi, nimepunguza 😇
UpoHatimaye umeniletea mbantu Bantu Lady
Tako sina
We jamaa unachotaka ni hiyo sentence ya mwisho tu. Kwingine mbwembwe tu.Mimi ningekufaa maana ni single dad Ila watoto mama yao alininyang'anya Ila Sasa unielekeze vizuri unaposema uko vizuri kiuchumi unamaanisha nini ?
Mimi mwenzio napenda nikuzudi hela sio wewe unizidi utanitesa sana ,fanya hivi dondoka PM yangu Ila uje na umri wa ukweli na chanzo Cha mapato yako pasina kusahau ,ukweli kuhusu hali ya muundo wako wa mwili hasa nyuma .
Here madame, nipo tayariJamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake pia rafiki kwa mimi mke wake yaani napenda mume ambaye ni rafik yangu
Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu.
Sina mahusiano na baba mtoto wangu kiufupi maisha yamenipiga viboko sana kwahiyo nilijifunza vingi
Mimi ni mama bora wa familia pia mchapakazi.
Mume ukiwa na mtoto mmoja au wawili itapendeza.
Mume uwe unafanya kazi au biashara.
Mume mimi ni single mom ila sina njaa pia maisha yamenifundisha haswa kwahiyo najua life ni nini na thamani ya mume ni nini.
🤠🤠🤠 acha uoga MkuuNawaogopa mkuu watakuja kuniuza hawa 🤔
😂😂😂
🤣🤣🤣 mkuu thanks kabisa🤠🤠🤠 acha uoga Mkuu