Nahitaji Mume

SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Wakati wewe sio mkweli na muaminifu mume unatemtaka unakmtaka awe mkweli na muaminifu..! Rejea sifa zaki mwenyewe. .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kigezo pekee alichonacho yeye ni kutokuwa na mtoto.
Ila upande wa wenzie kaweka mashart kibao
 
Kasema mwalimu
Wakati wewe sio mkweli na muaminifu mume unatemtaka unakmtaka awe mkweli na muaminifu..! Rejea sifa zaki mwenyewe. .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo pm tujenge na twiga cement
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mimi nina sifa zote Plus Ngawila za kutosha, isipokuwa sijasoma na naabudu mizimu.
Naomba nafasi
 
Ndio maana yake
Mi nmeweka kwa sababu nahitaji mume aliyenizid elimu.... Ni moja ya vitu ninavyovipenda.... Msomi
Anae husika na tangazo hili atalielewa kama lilivyo
Kwangu ni moja ya vigezo vya mume bora
Hata ikifika 50 vigezo vyangu n hivyo hvyo
Kwa majibu haya utachunda,ndio maana huko mtaani umewakosa sababu ya kimdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…