Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Miaka ya wadada wa aina hii ni wasumbufu sana tena bora ungesema mchagaa wa wapi ila kuishia mchaga mhhh kazi ipo pia hujasema elimu yako ila unahitaji mwenye degree, kingine hujasema unafanya nini ila unayemtaka unataka alijiajiri au ameajiriwa, , Pia unahitaji mwenye upendo , Mkweli na mwaminifu wewe hujajieleza kama hivyo unavyo.. Kikubwa tengeneza tangazo lako upya
Anae husika na tangazo hili atalielewa kama lilivyo
 
Miaka 27 bado unaweka checklist ndefu hivyo? ngoja nisubiri miaka mitatu ijayo ukileta tena tangazo hapa kama k=vigezo vitakuwa hivyo hivyo au vitapungua
 
Back
Top Bottom