Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Hapa kwa mchaga utaambiwa anataka harusi kubwa kama ile ya kimataifa huku akiwa hajui kwamba iyo ni waist of resources badala yake mnaweza mkaanzisha duka ambayo itawasaidia, ila kama ndoa mnaenda tu kuwekewa mikono kwa wachungaji inatosha, utaambiwa ifanyike sherehe kubwa ya kumuaga, mahari ndio usiseme na hivi ni mwalimu doh balaaa zitafika mil 4. kazeni buti vijana sisi tumesha kata tamaa ya kuoa maisha tunaona kawaida tu tuko buzy na kutafuta hela basi si vinginevyo.
 
huwa watu wanapata changamoto wanaposema wao ni wachaga sijui kwanini kuna perception flan kuhusu hili kabila wakati sio wote na hawana tabia zilizo fanana, na hao wanao comment kuhusu kabila utakuta ni watu wa pwani.
Ndio maana nikaweka kigezo cha elimu sidhan kama mtu msomi anaweza kujadili kuhusu kabila la mtu maana .... Pia sio lazma ukoment kama unaona ujaridhia
 
huwa watu wanapata changamoto wanaposema wao ni wachaga sijui kwanini kuna perception flan kuhusu hili kabila wakati sio wote na hawana tabia zilizo fanana, na hao wanao comment kuhusu kabila utakuta ni watu wa pwani.
Yameshawapata na mifano ipo.

Ila sio wachaga wote
 
Binti angalia profile yangu.

Nakuja TZ ndani ya wiki 2.
Kama nakufaa nitafute pm.
 
Hapa kwa mchaga utaambiwa anataka harusi kubwa kama ile ya kimataifa huku akiwa hajui kwamba iyo ni waist of resources badala yake mnaweza mkaanzisha duka ambayo itawasaidia, ila kama ndoa mnaenda tu kuwekewa mikono kwa wachungaji inatosha, utaambiwa ifanyike sherehe kubwa ya kumuaga, mahari ndio usiseme na hivi ni mwalimu doh balaaa zitafika mil 4. kazeni buti vijana sisi tumesha kata tamaa ya kuoa maisha tunaona kawaida tu tuko buzy na kutafuta hela basi si vinginevyo.
Hivi hapa nimeandika nahitaji harusi???? au nahitaji Mume!!!
 
Hapa kwa mchaga utaambiwa anataka harusi kubwa kama ile ya kimataifa huku akiwa hajui kwamba iyo ni waist of resources badala yake mnaweza mkaanzisha duka ambayo itawasaidia, ila kama ndoa mnaenda tu kuwekewa mikono kwa wachungaji inatosha, utaambiwa ifanyike sherehe kubwa ya kumuaga, mahari ndio usiseme na hivi ni mwalimu doh balaaa zitafika mil 4. kazeni buti vijana sisi tumesha kata tamaa ya kuoa maisha tunaona kawaida tu tuko buzy na kutafuta hela basi si vinginevyo.
Mimi namshukuru mungu mke wangu nilioa kwa elfu 80000, elfu 10000 ya kikao 70000 mahali yake aloitaja mwenyewe mke wangu, baada ya wiki nikafungishwa ndoa yangu usiku msikitini baada ya swala ya saa mbili Morogoro!..mke wangu alikataa kila aina ya mbwembwe alikataa kata kata....kwa Sasa Yuko Nyumbani kwake na maisha yake mashaalah mwaka wa kumi....ananimwagia watoto tu [emoji23] walokuwa wanamcheka kwa sasa wanatafuta hata wakuwatia mimba tu wawatunze ndani hakuna....
 
Back
Top Bottom