Open_Minded
Member
- Jun 6, 2020
- 8
- 22
Mtoto ni agizo la Mungu labda unambie ni kifungu gani kinasema kuzaa ni dhambiAwe mkristo na awe na HOFU YA MUNGU,alafu wewe una mtoto mmoja.....ulishawahi kuolewa?
Mkuu uko sahihi, sijasema kuzaa ni dhambi, dhambi ni kuzini na ndio maana nimeuliza kama kaolewa, pia sina lengo la kumjaji kwa sababu huwezi jua mtu anabeba mimba kwenye mazingira yapi, by the way lilikuwa ni swali fikirishi tu labda sikulileta mahala sahihi. Cheers.Mtoto ni agizo la Mungu labda unambie ni kifungu gani kinasema kuzaa ni dhambi
Dini yako ina neno linaloitwa "TOBA"?Mkuu uko sahihi,sijasema kuzaa ni dhambi,dhambi ni kuzini na ndio maana nimeuliza kama kaolewa,pia sina lengo la kumjaji kwa sababu huwezi jua mtu anabeba mimba kwenye mazingira yapi,by the way lilikuwa ni swali fikirishi tu labda sikulileta mahala sahihi.Cheers.
Kuzaa siyo dhambi ila sababisho la kuzaa linaweza kuwa ni dhambi. Kuzaa ni matokeo ya kufanya tendo la ndoa..inakuwa dhambi pale watu wasio nandoa kufanya tendo la ndoa. Bila shaka umenielewa.Mtoto ni agizo la Mungu labda unambie ni kifungu gani kinasema kuzaa ni dhambi
mkuu mwanao anaitwa nani?Kuzaa siyo dhambi ila sababisho la kuzaa linaweza kuwa ni dhambi. Kuzaa ni matokeo ya kufanya tendo la ndoa..inakuwa dhambi pale watu wasio nandoa kufanya tendo la ndoa. Bila shaka umenielewa.
Wapi ktk biblia Mungu mwenyewe anasema ili binadamu azae lazima awe kwenye ndoa au ni binadamu tu ja taratibu zao walizojiwekeaKuzaa siyo dhambi ila sababisho la kuzaa linaweza kuwa ni dhambi. Kuzaa ni matokeo ya kufanya tendo la ndoa..inakuwa dhambi pale watu wasio nandoa kufanya tendo la ndoa. Bila shaka umenielewa.