Nahitaji Mume

Yaan ujana ule na mwingine uzee na matatizo yako uje umtwike mwingine.. aliekuzalisha Ndo mumeo huyo punguza uhuni kaa utulie mlee Mwanao!!
 
Kuzaa nje ya agano la Mungu ni dhambi.(umezini)
 
Amri ya Mungu. Fungua Biblia kisha soma Kutoka 20:14. Tatizo namuelekeza mpagani asiyejua maandiko!!!
Pameandikwa usizini hilo nakubali mimi swali langu ni kuzaa nje ya ndoa
 
Amri ya Mungu. Fungua Biblia kisha soma Kutoka 20:14. Tatizo namuelekeza mpagani asiyejua maandiko!!!
Halafu unambie palipoandikwa usizae nje ya ndoa.

Mkumbuke suleman alikuwa na wanawake wangapi hizo ndoa alifanya lini? Ila alizaaa

Biia inatambua ndoq za watu wangapi?

Ibrahim alishauriwa na mkewe atoke na kijakazi na huyo ndie baba wa imani sasa.

Tafadhali tusiitane wapagani imani naijua pengine kukuzidi
 
Nkifikisha miaka 31 ndo ntatembelea ili jukwaa nipate mke Mana wengi ni miaka 31 kuendelea ngoja nivmioie hi miaka 18 yangu nlonayo ilo cku ntafika tu
 
Mwanaume aliyekuzalisha KWANINI HAKUKUOA?

#YNWA
 
Kigezo cha umri ukikilegeza nitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…