Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Yaan ujana ule na mwingine uzee na matatizo yako uje umtwike mwingine.. aliekuzalisha Ndo mumeo huyo punguza uhuni kaa utulie mlee Mwanao!!
 
Kuzaa nje ya agano la Mungu ni dhambi.(umezini)
 
Amri ya Mungu. Fungua Biblia kisha soma Kutoka 20:14. Tatizo namuelekeza mpagani asiyejua maandiko!!!
Pameandikwa usizini hilo nakubali mimi swali langu ni kuzaa nje ya ndoa
 
Amri ya Mungu. Fungua Biblia kisha soma Kutoka 20:14. Tatizo namuelekeza mpagani asiyejua maandiko!!!
Halafu unambie palipoandikwa usizae nje ya ndoa.

Mkumbuke suleman alikuwa na wanawake wangapi hizo ndoa alifanya lini? Ila alizaaa

Biia inatambua ndoq za watu wangapi?

Ibrahim alishauriwa na mkewe atoke na kijakazi na huyo ndie baba wa imani sasa.

Tafadhali tusiitane wapagani imani naijua pengine kukuzidi
 
Nkifikisha miaka 31 ndo ntatembelea ili jukwaa nipate mke Mana wengi ni miaka 31 kuendelea ngoja nivmioie hi miaka 18 yangu nlonayo ilo cku ntafika tu
 
Habari Wana Jf,

Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote.

Awe

-Mkristo na awe na hofu ya Mungu.

- Mwenye Nia ya dhati na utayari wa mahusiano
-Umri kuanzia 32 -45 yrs

-Awe na shughuli halali ya kuingiza kipato elimu angalau degree moja.

-Muwazi na mkweli

Kwa upande Wangu
-Mimi ni mkristo

-Nina mtoto mmoja

-Nina shughuli ya kuniingizia kipato na elimu yangu ni degree moja

-Muwazi na mkweli

Aliye na Nia karibu PM .

Asante!
Mwanaume aliyekuzalisha KWANINI HAKUKUOA?

#YNWA
 
Back
Top Bottom